Kipanya anamaanisha nini hapa

Si umeona kobe wa kijani huyo? Si unajua Katibu hawana hao kijani na sasa kichwa cha kobe wa kijani na yeye kimeondoka.
Mmh kichwa kimeondoka?? Nazidi kupote uwezo wa kufikiri "come again"
 
Hizi kuna kobe wa kijani??[emoji2371][emoji2371][emoji848][emoji848]
 
Inamaanisha jamaa yuko ndani anawachora tu yaani!
Mmmh?? Anapenda surprise huyu mwamba? Yaan hapo hakuna beberu (predator) anayeweza kumdhuru[emoji1320][emoji1320][emoji1320]
 
Ntajaribu kuwafumbua macho ila sio lazima mniamini!

Hii saga ya hali ya mh Rais wengi mnaitazama kwa namna walioitengeneza wanataka muitazame!

Iko hiv. Rais yuko sawa na anaendelea na shughuli zake kama kawaida!

Kinachoendela ni mpango wa ile topic ya "kuwa rais wa milele"

Strategy ni kufanya ya fuatayo

[emoji117]Kutengeneza mazingira aonekane yeye ni muhimu na bila yeye tanzania haitaweza kuendelea, hii ni kwa watanzania na nchi za nje

[emoji117]Lazima awe maarufu na kutokana na anayo ya fanya basi maadui dhidi yake nataifa kwa ujumla niwengi

[emoji117]lazima kuzima taarifa zinazo chafua uongozi wake kama saga la mahindi lililokuwa hapo nyuma

[emoji117]Lazima aonekane ni strong na akili nyingi na hakuna kitu kina mshinda

Sasa nini kinachoendelea!

[emoji117]Dhibiti vyombo vya habari, watoe taarifa positive tu kuhusu wewe na serikali yako na viongozi wako kusifia jina lako tu

[emoji117]Tengenza makundi mawili yakumfanya awe maarufu, kundi la kusifu na lile la kupondea,

[emoji117]Potea machoni kwa watu, na kupitia yale makundi uliotengeza penyeza taarifa kuhusu kupotea kwako yaanzishe mjadala kuhus wewe, ikiwezekna isemekane umekufa, then jitokeze waumbue uonekane ni strong na umaarufu wako utazidi kuwa mkubwa ndani na nje ya nchi!

[emoji117]Ikifika miaka minne ya utawala wa awamu yako ya pili , bunge litumie makundi ulotengeneza kama rejea ya kuhalalisha kuongezewa miaka mingine, watanzania watakuwa wanakuimba jina lako, hakutakuwa na kikwazo unakuwa rais wa milele!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…