Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia.
Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu.
Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780
DahYule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia.
Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu.
Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780
kipanya ana sifa.. anamanisha mama Samia ameikuta tanzania chafu, Ndo anaisafishaYule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia.
Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu.
Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780
Furaha yangu ni pale Kheri James atakapotupwa mazima hukoooAnatoa uchafu wote hasa MATAGA