King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,801
Pole sana kwa maumivu ya kichwa. hebu anza kula almonds basi. Ukichanganya na zabibu kavu na matunda ukamwagia mtindi juu, unapata bonge la delicacy. Inawezekana una ulcers? pole na kila la kheri
Sijui mwenzangu ila mie kuna pain killers zina aspirin nimekatazwa kula nlikua natumia sana kwa kichwa ikabidi nibadili.