Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

Dah, pole sana ingawa bado unaujasiri wa kuingia jukwaani sio mbaya ila nakushauri ungepumzika kwanza kwa maana maumivu ya kichwa si mchezo.
 
Wakuu heshima kwenu nini kinasababisha kipanda uso nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya mshituko kwenye upande mmoja wa kichwa na kinauma sana within seconds kinaacha though kinjirudiarudai kuna ndugu ameniambia ni kipanda uso, nini kinasababisha kipanda uso?
 
Naombeni msaada wenu wapendwa, nitumie tiba gani ili kutibu kipanda uso?

Tangu jana usiku mpaka leo nina hali mbaya sana. Nitashukuru kwa ushauri na mungu awabariki.
 
Nimewahi kuumwa na kichwa nikahisi kinataka kupasuka. Lakini baada ya kuanza kunywa dawa za Typhoid nilipata nafuu sana hadi nikapona. Nakushauri uanze dozi ya Typhoidi. Nina uhakika kwa asilimia nyingi inaweza kukusaidia ukapona.
 
Maumivu makali ya kichwa huweza kusababishwa na aina ya maisha tunayoishi na mazingira tunayofanya kazi kila siku.

Jaribu kuepukana na mambo yafuatayo:

1. Msongo wa mawazo
2. Matumizi ya kompyuta kwa muda mrefu.
3. Kufanya kazi ktk mazingira ya kelele nyingi.
4. Kutumia vilevi vikali

Pendelea:

1. Kupata muda wa kutosha kupumzika/kulala
2. Kunywa maji mengi ya kutosha.
3. Kunywa juice ya zabibu zilizoiva vizuri.
 
Msaada kwenye tuta jamani nini chanzo cha kipanda uso, na nini tiba yake maana mie leo tangu asubuhi kimenicharukia nimejaribu pain killer lakini bado.
 
Msaada please
JITIBU KIPANDAUSO:

(maumivu ya kichwa katika paji upande) chukua manemane gram 5

Bakalhadi gram 5 na shubiri vidonge hata viwili ponda lain loweka na ujipake kichwani hadi sehemu ya paji angalia isiingie machoni. Fanya 2x1 siku3 ni vizuri uwe na nywele zisizo kubwa
 
Habarini, naomba msaada kwa hili tatizo; mi ninapata mumivu makali sana ya kichwa katika paji la uso pale ninapo tizama vitu vyenye mwanga hususani mkali, vitu hivyo ni luninga, computer, simu ya mkononi n.k , nikitizama vitu hivi kwa muda fulani mwanga wake unanitanya macho kuuma ikiambatana na maumivu makali sana ya kichwa katika paji la uso.

Pia mimi ni mkandarasi hivyo asilimia 100% ya muda wangu wa kazi ni juani na ninapokaa juani kutwa nzima napatwa na maumivu makali ya paji la uso, khari hii imedumu kwa takribani miaka 10 na wakati mwingi nashindwa kufanya kazi kwasababu ya tatizo hili, na tangu 2004 mpaka sasa nimekuwa na tatitizo la maimivi makali ya kichwa maeneo ya kisogoni nimefanya CT scan na MRI muhimbili hazikuona tatizo katika kichwa na kutumia dawa za nerves bila mafanikio pia miwani nimevaa kwa muda wa miezi 6 bila mafanikio, imefikia wakati hata mwajili wangu kutaka kuni simamisha kazi kwa ajili ya tatizo hili,jamani kwa mwanye kujua tiba ya tatizo hili anisaidie.

Kuumwa na kichwa

kumegawanyka sehemu kuu nyingi sana japo kuwa 1% yake ni hashirio la matatizo ya kiafya ambayo

yameadvance. Kama vile concussion of brain,meningitis,encephaliti, na stroke. Kuumwa na kichwa pia inawezatokana na matatizo ya

taya, meno au hata kula vitu vya baridi zaidi. Vyakula vyenye nitrite au monosodium glutamate.

Sehemu ambazo huuma ni kama ifuatavyo.mfumo wa fahamu ambao upo kwenye fuvu la kichwa.

Baadhi ya neva za fahamu zizlizoko usoni

Misuli ya kichwani
Mishipa inayopatikana kwenye fuvu la kichwana chini ya ubongo kuna mifumo ya fahamu yenye hisia. Kumbuka fuvu na tishuu za ubongo kwa zenyewe haziumi kwani hazna mifumo ya fahamu ambayo inahisia.
Mambo haya 12 nayo yanahusika sana.

1:Nervous tension headaches;
Ni maumivu ya kichwa endelevu upande mmoja au pande zote za misuli ya shingo na upande wa juu wa mgongo,kuumwa na kichwa pamoja na kusinzia. Tumia vitamin b2 na c , ounguza au acha matumizi ya sukari,kahawa,chakula chenye kukusababishia mzio,misongo ya mawazo na ufanye mazoezi yakutosha.

2: Cluster headaches;
Kichwa kuuma haswa upande mmoja wa kichwa kwa maumivu makali, machozi humtoka mtu na makamasi kwa mbali. Kitu cha kwanza ni kutumia chakula chenye protein ya kutosha, epukana na chakula chenye mzio kwako.

3: Hangover headaches;
Hii ni hali ya kichwa kuuma kwa sababu ya matumizi makubwa ya vinywaji vikali haswa pombe. Weka barafu chini ya kichwa yaani maeneo ya kichogoni au shingoni,kunywa maji mengi na juice ya matunda freshi na uache pombe.

4: Exertion headaches;
Hutokea pale ambapo mwili utatumika sana na haswa kwenye ngono. Weka barafu linalouma, kula mlo kamili na usifanye mazoezi.

5: Caffein headaches;
Hali hii hutokea pale ambapo umeacha matumizi makubwa sana ya kahawa kwa ghafla. Kunywa kiasi kidogo cha kahawa kuondoa maumivu na upunguze matumizi kidogokodogo mpaka utakapo acha kabisa.

6: Sinus headaches;
Maumivu haya huanzia upande wa kulia na kushoto wa pua na kupanda mpaka kichwani. Kula vitamini C kwa wingi na umuone mtaalamu wa afya maana saa zingine hii utkana na maambukizi.

7: Bilious headaches;
Kichwa na macho huuma haswa kipanda uso na husababishwa na kula sana, kula vibaya, kutofanya mazoezi na kukosa choo. Fanya mazoezi na kunywa maji yakutosha na kasha fanya enema.

8: Hunger headaches;
Maumivu ya kichwa ambaya husababishwa na kutokula kwa muda. Kula chochote ilimradi kiwe ni protein au carbohydrates .

9: Eyes ram headaches
Haya ni maumivu yanayotokea kwenye macho na wengi hudhani labda wameangalia vibaya japo saa zingine inaweza kuwa sababu. lakini chanzo chake haswa ni ubongo kufanya kazi kupita kiasi. Badili mtindo wa maisha na kama ni mtumiaji wa miwani ni vyema ukamuana mtaalamu aangalie kama lensi zimepotea nuru au la.

10: Menstrual headaches;
Hali hii hutokea kwa kina mama kipindi cha yai kupevuka. Hutokana na mabadiliko ya hormone, muone mtaalamu wa afya.

11: Arthritis headaches;
Haya ni maumivu ya kichwa yanayosikika mpaka shingoni na saa zingine mpaka mgongoni ambayo husababisha maumivu haswa unapozidisha mwendo au shughuli. Kitu kikubwa ni kutibu ugonjwa unaosababisha hali hiyo.

12: Hypertension headaches;
Ni maumivu ya kichwa chote, mwendo mkubwa pia huongeza maumivu. Hali hii husababishwa na shinikizo la damu. Tibu au pambana kushusha shinikizo la damu na halii itaisha bila shaka.

Kabla ya kukupa dawa na ushauri wangu nina maswali nikuulize unijibu.

Je unapata Usingiz wa kutosha? unalala usiku masaa mangapi? je unakunywa maji ya kutosha? una miaka mingapi? Unapata haja kubwa ya kutosha ? Nenda pia kapime macho yako

na ukapime tena kwenye mishipa yako ya fahamu huenda una matatizo. Na kitu kingine unakuwa upo juani uwe unavaa kichwani kofia.
 
Sababu zote za wewe kuumwa kichwa ushazitaja. Pia acha kula nyama zilizosindikwa. eg sambusa.
 
kichwa.jpg
 
Back
Top Bottom