Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Waswahili husema udngo uwahi ungali maji, sijui wenzangu mnamuonaje huyu kipa mpya wa Simba nimeona makosa kadhaa ya kiufundi anayoyafanya na sijui kama waalimu wake wanayaona
- Over confidence
- Poorly making the cross
- Kutema tema ovyo
- na kutozemezana sana na mabeki wake
- ....................................................
Namuomba ayafanyie kazi haya makosa kwani tuna mlima mrefu mbele