Jaman naomba msaada wa kupata kioo(touch) ya nokia lumia 820,maana simu yangu ilidondoka na kioo kimecrack ,Je huwa zinapatikana? na kama zinapatikana wap na bei gan?

GOOGLE plz nielekeze ni wapi hapo naweza pata hiyo huduma nimedondosha lumia 520 so inatakiwa pia kubadilishwa kioo...plz assist ikiwezekana naomba hata Namba ya simu ya Fundi/ ofisi!