Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 412
- 372
Nina tab tajwa hapo juu, kwa bahati mbaya imedondoka na kioo cha juu kimepasuka(Touch bado inafanya kazi maaana ndo naitumia hata kupost huu uzi) Kwa mtu anayefaham naomba anielekeze wapi na naweza kupata kioo chake kwa maeneo ya morogoro au Dar pamoja na bei yake. Natanguliza shukrani