laptop gateway aina gani, ina inches ngapi?Habari wakuu
Naombeni msaada nina laptop yangu imevunjika kioo cha juu. Je kuna uwezekano wa kubadilisha? Na itakuwa shi ngapi?
Msaada please...
Frankly speaking cjaona sehem ya kusoma hiyo aina na ni nchi ngapi ila kwa kukadilia itakuwa nchi 16 kama sio 15
Itakuwa between tshs 140000 to 180000 la msingi ni kujua kama ni LED au LCD kwakuwa vioo vya laptops vinaingiliana
Nashukuru mkuu, na Vinapatikana wapi mkuu
Try huyu jamaa 0713218388 au huyu +255769653445