Kiongozi, wathamini unaowaongoza

Kiongozi, wathamini unaowaongoza

Joined
Sep 27, 2021
Posts
9
Reaction score
17
Kiongozi bora ni yule anayewathamini watu anaowaongoza na si vinginevyo.

Kumekuwepo na baadhi ya viongozi wasiowathamini watu wanaowaongoza, wanawaumiza watu kwa kisingizio cha kukuza uchumi.

Kupanda gharama za vitu hovyo hovyo, kodi kubwa zinazowaumiza watu, kukosekana kwa huduma za kijamii, wafanyabiashara kunyanyaswa mfano machinga haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kwamba kiongozi hawathamini watu anaowaongoza.

Ifahamike kwamba kila mtu anataka kuishi vizuri na sio kunyanyasika.

ENYI VIONGOZI MUWE MNAWATHAMINI WATU MNAOWAONGOZA ILI NAO WAISHI MAISHA MAZURI.
 
Back
Top Bottom