karama kaila
Senior Member
- Jan 30, 2015
- 122
- 60
Kwa hali ya bunge itakavyokuwa Ni muhimu Kiongozi wa Upinzani Bungeni atoke CUF upande wa Zanzibar ili kuonyesha Umoja wa Kitaifa.
Kwasababu CUF walikubali kuburuzwa kwa kumtoa Juma Duni Haji kuwa mwanachama wa CDM ili kumuunga mkono mgombea wao.
Lakini pia kwa kitendo cha CDM kuwa na mgombea uraisi wa Jamhuri wamepata kura nyingi kuliko CUF na hivyo CDM watapata viti maalum wengi na ruzuku nyingi ya kuendesha chama.
Ni Wakati wa Mbowe kuacha tamaa na kuachia nafasi ya Kiongozi wa Upinzani Bungeni iende CUF na CDM itoe mnadhimu wa kambi Rasmi ya upinzani.
Ni wakati wakwenda kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni kwa umoja na ushirikiano.
Na Ni lazima mwenye viti maalum wengi na mwenye ruzuku nyingi na aliyesimamisha mgombea uraisi amuachie mwenzie aweke Kiongozi wa Upinzani Bungeni.
Natumai katika hili CUF hawatakubali Uzwazwa.