Kiongozi wa namna hii hatufai

Kiongozi wa namna hii hatufai

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
683
Reaction score
493
Ndugu zangu Watanzania, ningependa kukosoa kauli ya Spika wa Bunge alioitoa juzi wakati wa ufunguzi wa Kikao na Kamati tatu za Bunge kuhusu "tozo za kadi za simu" kwa hili nina wasiwasi huenda Mheshimiwa huyu alishawahi kuwa muuza nyama Buchani(hana huruma), anasema kama Watanzania wanauwezo wa kumiliki Simu na kununua Pombe basi hata hiyo 1,000/= ni kiasi kidogo mno,
Ningependa kumuuliza yafuatayo...,
>>Anahisi kila anaemiliki Simu amejinunulia?
>>Alishajiuliza kwanini Mitandao imeweka huduma ya NIWEZESHE??
>>Wote wanaomiliki simu ni wanywa pombe??
>>Akili yake ktk kutafuta chanzo cha mapato imeishia ktk tozo za simu
Sina mengi zaidi ila nahisi hela anayopata ktk Vikao mbalimbali na kwakuwa ni nyingi mno basi anahisi hakuna wenye dhiki hapa Tanzania, kwahili nasema Makinda hatufai na bora Mungu amchukue mapema
 
Kuna bunge tanzania au komedi?

"Nchi ngumu hii"
 
Hapo ndipo uwezo wake wa kufikiria uliishia..

>>>maana hana wa kumnunulia simu...
>>>Pombe wanakunywa wao wakiwa kule Dodoma na kujaza bar na vilabu vyote .....
>>>Vocha anawekewa na ofisi ya bunge haitaji huduma ya NIWEZESHE

Msamehe bure hata kuwepo mwaka 2015 kishasema uzee nao tatizo ....
 
Tanzania haijawahi kuwa na Spika.............................kama...................... sijui nini na nini/
 
Ndugu zangu Watanzania, ningependa kukosoa kauli ya Spika wa Bunge alioitoa juzi wakati wa ufunguzi wa Kikao na Kamati tatu za Bunge kuhusu "tozo za kadi za simu" kwa hili nina wasiwasi huenda Mheshimiwa huyu alishawahi kuwa muuza nyama Buchani(hana huruma), anasema kama Watanzania wanauwezo wa kumiliki Simu na kununua Pombe basi hata hiyo 1,000/= ni kiasi kidogo mno,
Ningependa kumuuliza yafuatayo...,
>>Anahisi kila anaemiliki Simu amejinunulia?
>>Alishajiuliza kwanini Mitandao imeweka huduma ya NIWEZESHE??
>>Wote wanaomiliki simu ni wanywa pombe??
>>Akili yake ktk kutafuta chanzo cha mapato imeishia ktk tozo za simu
Sina mengi zaidi ila nahisi hela anayopata ktk Vikao mbalimbali na kwakuwa ni nyingi mno basi anahisi hakuna wenye dhiki hapa Tanzania, kwahili nasema Makinda hatufai na bora Mungu amchukue mapema

Tumsamehe huu ni mwezi mchanga, una mambo mengi hajui ukubwa wa tatizo kwa wananchi masikini.
 
Wanawake ndo walivyo! Kuna mama mmoja alikuwa anaitwa Mongela (sijui alipo sasa), wakati ule kodi ya kichwa iliyokuwa ikiwahusisha wanaume tu, yeye akapendekeza hata wanawake walipe pia. Ndo maana nasema wanawake ndivyo walivyo. Bottom power huwa inawadanganya sana!
 
Mi nafikiri pia Elimu ya kuungaunga na uwezo wakufikiri ndio unaosababisha uchache wa busara kwa Viongozi wetu
Hata sio elimu, elimu mtaisingizia tu. Yule ni uwezo wake ndio huo. Shida ni kwetu sisi wapiga kura tunachagua watu wa hovyo kama hao.

Tatizo tanzania tunaona kila aliyesoma ana kipawa na uwezo wa kuongoza. The kinyume is also true na ndio hao akina spika na ndugu yake naibu na wengi waliopo magambani.Unaweza kuwa na wema wachache lakini majorty ni reject, so,to me, the Problem lies within ccm and its allies.
 
Huyo si ni mropokaji tu. Uspika wa kupewa na akina Chenge/Lowasa unategemea anawezakuwa na akili zake? Tozo ya simu ni mpango wa Chenge aliyempa uspika unategemea atafanya nini zaidi ya kulamba viatu vya huyu fisadi wake? Badala ya kurudisha vijisenti huko visiwa vya Jessey anang'ang'ana na tozo za cm huu si umburula tu.
 
Mi nafikiri pia Elimu ya kuungaunga na uwezo wakufikiri ndio unaosababisha uchache wa busara kwa Viongozi wetu

Tatizo wale wameamua kujitoa ufahamu, hata waliosoma vizuri kabisa nao ni bure tu..
 
Bi kiroboto ana watoto? Ukipata jibu usimlaumu
 
kwa watu wa saikolojia, uso huandikwa kila kitu kilicho moyoni mwa muhusika, ukiangali sura yake wala huwezi kupoteza muda wa kumjadili, sana sana ukiwa kwenye ibada umkumbuke kwa maombi,,, maana hajui atendalo
 
Wanawake ndo walivyo! Kuna mama mmoja alikuwa anaitwa Mongela (sijui alipo sasa), wakati ule kodi ya kichwa iliyokuwa ikiwahusisha wanaume tu, yeye akapendekeza hata wanawake walipe pia. Ndo maana nasema wanawake ndivyo walivyo. Bottom power huwa inawadanganya sana!

Utafiti wako wote umekamilika kwa mifano ya wanawake wawili tu katika ulimwengu mzima? Kweli uwezo wako wa kufikiri ni finyu mno. Sasa nakuambia, 'No research, no right to speak '. Wanawake unaowajua duniani ni Ana Makinda na Getrude Mongela tu. Poor you!. Unapozungumzia jinsi mara zote haifai kusema, "wanaume" au "wanawake" maana inamaanisha wanaume wote duniani au wanawake wote duniani, labda kama utataja nchi. Lakini pia italeta maana kuwa ni wanaume au wanawake wote katika nchi hiyo. Kwa ustaarabu, jifunze kusema 'baadhi ya wanawake' au baadhi ya 'wanaume'. Sasa kwa hapa, umemjumlisha hata mama yako, na kutufanya tuelewe kuwa "bottom power yake inamdangaya".
 
ndugu zangu watanzania, ningependa kukosoa kauli ya spika wa bunge alioitoa juzi wakati wa ufunguzi wa kikao na kamati tatu za bunge kuhusu "tozo za kadi za simu" kwa hili nina wasiwasi huenda mheshimiwa huyu alishawahi kuwa muuza nyama buchani(hana huruma), anasema kama watanzania wanauwezo wa kumiliki simu na kununua pombe basi hata hiyo 1,000/= ni kiasi kidogo mno,
ningependa kumuuliza yafuatayo...,
>>anahisi kila anaemiliki simu amejinunulia?
>>alishajiuliza kwanini mitandao imeweka huduma ya niwezeshe??
>>wote wanaomiliki simu ni wanywa pombe??
>>akili yake ktk kutafuta chanzo cha mapato imeishia ktk tozo za simu
sina mengi zaidi ila nahisi hela anayopata ktk vikao mbalimbali na kwakuwa ni nyingi mno basi anahisi hakuna wenye dhiki hapa tanzania, kwahili nasema makinda hatufai na bora mungu amchukue mapema

mimi nasema alieshiba hamjui mwenye njaa sisi tumekuwa mazombie
 
Utafiti wako wote umekamilika kwa mifano ya wanawake wawili tu katika ulimwengu mzima? Kweli uwezo wako wa kufikiri ni finyu mno. Sasa nakuambia, 'No research, no right to speak '. Wanawake unaowajua duniani ni Ana Makinda na Getrude Mongela tu. Poor you!. Unapozungumzia jinsi mara zote haifai kusema, "wanaume" au "wanawake" maana inamaanisha wanaume wote duniani au wanawake wote duniani, labda kama utataja nchi. Lakini pia italeta maana kuwa ni wanaume au wanawake wote katika nchi hiyo. Kwa ustaarabu, jifunze kusema 'baadhi ya wanawake' au baadhi ya 'wanaume'. Sasa kwa hapa, umemjumlisha hata mama yako, na kutufanya tuelewe kuwa "bottom power yake inamdangaya".
Haya nabadilisha, wanawake ndivyo mlivyo. Kwenye orodha nimekuongeza wewe na yule mama wa malawi.
 
Back
Top Bottom