Utafiti wako wote umekamilika kwa mifano ya wanawake wawili tu katika ulimwengu mzima? Kweli uwezo wako wa kufikiri ni finyu mno. Sasa nakuambia, 'No research, no right to speak '. Wanawake unaowajua duniani ni Ana Makinda na Getrude Mongela tu. Poor you!. Unapozungumzia jinsi mara zote haifai kusema, "wanaume" au "wanawake" maana inamaanisha wanaume wote duniani au wanawake wote duniani, labda kama utataja nchi. Lakini pia italeta maana kuwa ni wanaume au wanawake wote katika nchi hiyo. Kwa ustaarabu, jifunze kusema 'baadhi ya wanawake' au baadhi ya 'wanaume'. Sasa kwa hapa, umemjumlisha hata mama yako, na kutufanya tuelewe kuwa "bottom power yake inamdangaya".