G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,359
- 5,209
Hii ni sehemu ya kuelimishana na kupeana habari. Ndgu wanabodiKuuliza si ujinga jamani, bali nataka kujua, kiongozi wa mbio za mwenge huwa anachaguliwaje? Qualifixation zake? Huwa ni mjeshi au kada wa chama? Na analipwaje?