Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,239
- 821
We nae uwe unajiongeza elimu sio kigezo cha kukimbiza mwenge, kigezo ni hiyo nafasi unaipataje maana huko wanapokutoa washajiridhisha na elimu yakoHpo tumekupata mkuu...sasa iweje huyu mtu hadi anaenda kufanya ufunguzi wa shughuli mbali mbali za maendeleo lkn elimu hatuiongelei? Kwa hiyo, samahani niulize, ctaki kumkwaza mtu. .. huwa ni mtu hata mbumbu?
Mfano huyo mwanosya kipindi anakimbiza mwenge alikuwa capt wa jeshi naambiwa sasa ni meja
Sasa huwezi kuhoji elemu yake kipindi anakimbiza mwenge unatakiwa uhoji elimu yake kama capt wa jeshi, kwahiyo wanapowatoa wanakuwa washajiridhisha na elimu zao ingekuwa wanawatoa mtaani sawa tungehoji elimu zao
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app