masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,173
- 13,776
Namwomba radhi mhusika aliyetajwa, utokana na habari hii ambayo si kweli.
Namwomba radhi kabisa katika habari hii iliyosambaa mitandaoni na mimi kuiquote kwa makosa.
Naomba anayemfahamu ani PM simu yake niweze kuongea naye kwa kuelewana na kumwomba radhi rasmi.
Napenda kurudia kuwa namwomba radhi ndugu Mollel kwa usumbufu alioupata.
Ilikuwa upungufu kwa upande wangu na kwa hilo nilikosea.
Lakini mimi ni mdau wa habari na kutokomeza uhalifu na ujenzi wa taifa. Hata hivyo niliyoyaandika haikuwa kwa nia mbaya ya kukashifu au kumvunjia heshima huyu ndugu.
Naomba apokee kuomba kwangu radhi,na ni vema tukakutana ili nimdhibitishie hilo.