Umeona pumba zako,hiyo video mbona hakuna au ndio mambo ya mahututi chadema?!<!-- google_ad_section_end --> Mbea!kweli wewe ni kilaza!unataka video ya aina gani!au wewe ni kipofu?Chadema inahusikaje hapa?Hicho kichwa kina matatizo!
Wewe ndo wale mamluki mliotumwa nini? Sasa Chadema inahusika nini hapo? Katengeze kikompyuta chako au waambie waliokupa wabadlilishe wakupe toleo jipya uendelee na kazi kwani teknlojia ya JF ni kubwa mno kwao