Kiongozi wa chama cha CC------ akipigwa maswali na Orijino komedi

Umeona pumba zako,hiyo video mbona hakuna au ndio mambo ya mahututi chadema?!
 
Umeona pumba zako,hiyo video mbona hakuna au ndio mambo ya mahututi chadema?!<!-- google_ad_section_end -->
Mbea!kweli wewe ni kilaza!unataka video ya aina gani!au wewe ni kipofu?Chadema inahusikaje hapa?Hicho kichwa kina matatizo!
 
jamani, au alidhani unamtumia mkanda wa video, nadhani lugha tatizo
 
Umeona pumba zako,hiyo video mbona hakuna au ndio mambo ya mahututi chadema?!

Wewe ndo wale mamluki mliotumwa nini? Sasa Chadema inahusika nini hapo? Katengeze kikompyuta chako au waambie waliokupa wabadlilishe wakupe toleo jipya uendelee na kazi kwani teknlojia ya JF ni kubwa mno kwao
 
Umeona pumba zako,hiyo video mbona hakuna au ndio mambo ya mahututi chadema?!

Wewe kweli mat*k*! unasema pumba kumbe wewe ndiyo pumba zaidi! Kwa kukusaidia tu: Install flash player! Uwe unauliza na kuomba msaada, siyo kuropoka tu, unaweza kujiaibisha buree!
 
istockphoto_1417788-old-bulldozer.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom