Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan

Kiongozi wa Al-Qaeda auawa Pakistan

kbm

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5,224
Reaction score
1,686
141206095023_adnan_512x288_bbc.jpg

Kiongozi mwandamizi wa kundi la wanamgambo wa Al Qaeda anayeshukiwa kupanga kulipuwa treni mijini New York na London ameuawa nchini Pakistan,kwa mujibu wa Jeshi la nchi hiyo.

Adnan el Shukrijumah aliuawa katika shambulizi kazkazini magharibi mwa Pakistan karibu na mpaka wa Afghanistan,jeshi hilo limesema.

Maafisa wa kundi la Ujasusi kutoka Marekani FBI wamekuwa wakimtaja kuwa mkuu wa kitengo cha oparesheni katika kundi la Al Qaeda,wadhfa ambao ulishikiliwa na mtu anayeshukiwa kupanga njama za shambulizi la Septemba 11 Khalid Sheikh Mohammed.

Shukrijumah alizaliwa nchini Saudi Arabia na kuishi kwa miaka kadhaa nchini Marekani.

Aliorodheshwa katika mashtaka kama muhusika wa kupanga njama katika kesi dhidi ya watu watatu wanaoshutumiwa kwa kupanga mashambulizi ya kujitolea muhanga katika barabara za treni mjini New York mwaka 2009.

Pia anashukiwa kupanga njama za kutekeleza mashambulizi ya kundi ya Al Qaeda nchini Panama,Norway na Uingereza.

Uvamizi huo wa mapema leo ulifanyika katika jimbo la Shinwarsak kusini mwa Waziristan,ambalo ni eneo la Kazkazini magharibi mwa mkoa uliopo karibu na mpaka.

Jimbo hilo ni kambi ya wapiganaji wa Taliban nchini Pakistan na washirika wao.

Chanzo:
BBC
 
Kiongozi mwingine wa juu wa Kundi la Al Qaeda, Umar Farooq ameuawa leo katika shambulio la anga la Marekani hukoPakistan, maofisa wasema.
 
Hii dunia na hadithi zake bana .......!!
 
LooL !! kila siku tuna sikia kiongozi/gaidi/sijui nini kauawa !! Na upande mwengine tunasoma na kusikia Mmarekani achinjwa !! sijui nani katekwa kachinjwa naye !! Sasa nani mkweli jamaniie?
 
Yaani nchi nyingine hata hazijihusishi na kuwaondoa hawa wati
 
LooL !! kila siku tuna sikia kiongozi/gaidi/sijui nini kauawa !! Na upande mwengine tunasoma na kusikia Mmarekani achinjwa !! sijui nani katekwa kachinjwa naye !! Sasa nani mkweli jamaniie?
Ndo matukio yanatokea hapa duniani hayo.
 
Kesho tutasikia Amechinjwa Mzungu mwingine !! Khaaa....! Kesho kutwa atauawa mwingine...hivo ivo wataendelea... !!
kbm lukubuzo Samsis Yusomwasha
US special forces who tried to rescue photojournalist Luke Somers from al-Qaeda in Yemen were not aware of the identity of the other hostage held with him, a US official has told the BBC.
Both South African teacher Pierre Korkie and Mr Somers were shot by the militants during the raid, US officials say, and died as a result.
A charity working with Mr Korkie said he was to have been freed on Sunday.
Its statement said the US rescue attempt had "destroyed everything".
The US says the raid in southern Yemen was launched because they believed there was an immediate threat to Mr Somers' life.
However, it is understood that a payment had been made to enable the release of Mr Korkie.
Some workers at the charity that he was with, Gift of the Givers, have criticised the US raid.
Jump media player
Media player help

Out of media player. Press enter to return or tab to continue.

Advertisement

Luke Somers was abducted in Yemen in 2013, as the BBC's Frank Gardner reports

A senior official in the US administration told the BBC's Tom Esslemont in Washington that the rescuers were not aware that Mr Korkie was being held with Mr Somers.
Separately, details have been emerging of the rescue mission. US officials, speaking on condition of anonymity, have said some 40 special forces took part in the rescue attempt, which came after drone strikes in the area.
The rescuers reportedly landed by helicopter around six miles (10 km) from the compound where the hostages were being held. Backed by Yemeni ground forces, they advanced to within 100m (320ft) of the site in Shabwa province.
A gunfight broke out when they were spotted by the militants, one of whom was briefly seen entering the compound. US officials believe this was when the hostages were shot.
Both hostages were evacuated with serious injuries and received immediate medical care. Mr Korkie died on a helicopter while Mr Somers died while being treated at US navy ship in the region.
_79554585_025005989-1.jpg
Former hostage Yolande Korkie had campaigned for her husband's release
US officials said the men could not have been hit by US gunfire, based on where they were being held. The raid lasted about 30 minutes.
The US ambassador to London, Matthew Barzun, told the BBC that the rescue mission had lacked the "element of surprise" because of threats made by the hostage takers in a video featuring Mr Somers.
"In this case, sadly, the timetable was set by the hostage takers because they had basically said publicly that they were going to do awful things by a [certain] date," he said.
 
Last edited by a moderator:
wanaamini wanamtumikia mungu hao. mungu huyo ni wa ajabu sana.
 
ngojea tumwite kahtaan aweze kuthibitisha hii habari kama ni ya kweli...

Mkuu wa chuo si unamkumbuka huyu Comandoo!?

1418027678316.jpg

Mpaka leo inasemekana bado yuko Pakistan na Ukimuona hana ndevu hata moja na Ni kijana Smart kabisa mwenye mke na watoto na biashara zake.
Sasa huyu Wa leo Ambae ni Mtu mdogo tu Unategemea tutapata Hakika ya kifo chake?

Tatizo kubwa la Wagalatia Wao Hubeba HABARI ZOOOOOOTE mazima Bila Kushirikisha Kichwa ktk Kuitafakari hio khabari.

Ndio tukasema Wajinga Ndio wali wao!
We hukushangaa BABU wa LOLIONDO juu ya Kuwa ALIKUWA MUONGO lkn walikwenda Mpaka MAWAZIRI kunywa Kikombe!

Ujinga Hauna kabila. Nakushauri Usiwe ktk Hilo Group la AKILI KUAMBIWA!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo si unamkumbuka huyu Comandoo!?

View attachment 208916

Mpaka leo inasemekana bado yuko Pakistan na Ukimuona hana ndevu hata moja na Ni kijana Smart kabisa mwenye mke na watoto na biashara zake.
Sasa huyu Wa leo Ambae ni Mtu mdogo tu Unategemea tutapata Hakika ya kifo chake?

Tatizo kubwa la Wagalatia Wao Hubeba HABARI ZOOOOOOTE mazima Bila Kushirikisha Kichwa ktk Kuitafakari hio khabari.

Ndio tukasema Wajinga Ndio wali wao!
We hukushangaa BABU wa LOLIONDO juu ya Kuwa ALIKUWA MUONGO lkn walikwenda Mpaka MAWAZIRI kunywa Kikombe!

Ujinga Hauna kabila. Nakushauri Usiwe ktk Hilo Group la AKILI KUAMBIWA!

Umeanza kuleta story zenu za kipindi kile wewe na Ritz ya kwamba mnaleta picha ya Osama akiwa na kofia ya mchunga ng'ombe... kwa hiyo unataka kusema na huyu jamaa kuna walakini!?

Osama aliuliwa na Seal Team 6 huko Abbotabad Pakistan...
 
Teh teh teh teh!

Yaani we kiumbe wa ajabu sana.
Lile darasa la siku zile mi nikadhani Umeelewa Kumbe kuch nehi!!!

Ngonja Shariff Ritz aje aone utumbo wako tucheke kidogo!

Hio habari ya Kofia ya cowboy si Uliileta wewe ukasema Osama Akivaa hio Kofia Zile Satellite's za USA hazimuoni? Au leo unataka Kutugeuzia Kibao?

We kweli Mkuu wa chuo cha machizi!
 
Ni kweli Osama alitumia mtindo wa namna hiyo, Ila Wamarekani waliweza ku m trace, muda mrefu... lakini nyie ndio mlioleta hizo picha sio mimi nilioleta picha hizo, mkaleta na picha za namna hii...
Osama-Bin-Laden-Cowboy-38065.jpg
 
Teh teh teh teh!
Mkuu wa chuo Acha bange!
 
Teh teh teh teh!

Yaani we kiumbe wa ajabu sana.
Lile darasa la siku zile mi nikadhani Umeelewa Kumbe kuch nehi!!!

Ngonja Shariff Ritz aje aone utumbo wako tucheke kidogo!

Hio habari ya Kofia ya cowboy si Uliileta wewe ukasema Osama Akivaa hio Kofia Zile Satellite's za USA hazimuoni? Au leo unataka Kutugeuzia Kibao?

We kweli Mkuu wa chuo cha machizi!
Mkuu Kahtaan, hiyo kofia ya Osama ukivaa satellite haikuoni.

Zinauzwa Kariakoo. Teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom