kiongozi ni nani?

kiongozi ni nani?

RIVI SHIRIMA

Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
31
Reaction score
2
fikra ndio uongozi,kiongozi yapaswa aione kesho nakesho kutwa mpka mtondo go!
Kiongozi man yake ni kuwafanya wa2 wakubali ambacho hawakitaki,na kuanza kuiona kesho yao japo hawaijui,
Mashaka yananiji pale kiongozi anapo peleka taarifa za kazi kwa muke au mume na watoto hapo hakuna fikra bali ni ubomoaji wa uongozi nakuwa km kio-ngozi ila hay ani mawazo yangu ntaendele badaee na apa pa magamba***
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom