Pili uwe CCMKwanza ni lazima uwe ccm
Utavaa makoti mangapiKoti likikubana unaachana nalo unavaa koti lingine (in Abeid Karume's voice).
Na nyumba unahama kabisa...auKitanda chenye kunguni unakitelekeza, hii ndo busara.
Ni vigumu sana kusukuma gari ukiwa umekaa ndani yake
Hizo ni Qualities za a good leader kwa mujibu wa wazungu, kama ilivyo demokrasia yao, kuwa ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa ajili ya watu, but not in Africa. Kule leaders are selfless, viongozi ni watu waliojitosheleza na wanagombea uongozi ili kutumikia watu, kuwa watumishi wa watu, huku Africa, watu wanagombea uongozi ili kuukwa, kukamata madaraka, ukubwa na ulaji, sio ili kutumikia watu bali uabudiwe, unyenyekewe, usifiwe.
- Honesty and Integrity. ...
- Inspire Others. ...
- Commitment and Passion. ...
- Good Communicator. ...
- Decision-Making Capabilities. ...
- Accountability. ...
- Delegation and Empowerment. ...
- Creativity and Innovation.
Sisi waafrika tuna mafuvu magumu sana,bila mijeledi hatuendi.mambo yaende hata ikibidi kwa mijeledi, mambo ya kubembelezana hakuna tena, siasa hakuna,
Hizo ni Qualities za a good leader kwa mujibu wa wazungu, kama ilivyo demokrasia yao, kuwa ni serikali ya watu, inayoongozwa na watu kwa ajili ya watu, but not in Africa. Kule leaders are selfless,
Africa hatuhitaji leaders kutuongoza, we just need rulers to rule.
Demokrasia yetu ni serekali yangu, inayoongozwa na mimi kwa ajili yangu.
Ni kufuatia haya mambo ya kuendekeza good leadership na good governance ndio yametufikisha hapa, sasa tuko kwenye Tanzania ya Magufuli na Dar es Salaam ni jiji la Makonda,
hatuhitaji hizo qualities, tunataka maendeleo, mambo yaende hata ikibidi kwa mijeledi, mambo ya kubembelezana hakuna tena, siasa hakuna, hapa ni kazi tuu!. Hii ndio Tanzania ya Magufuli.
Magufuli ni Dikiteta!, Tanzania Ilihitaji Dikiteta, Tumempata!. Atakayeleta Fyoko, Ataisoma Namba!
P
Ukinisoma taratibu with an open mindedness utanielewa, otherwise, pole kwa kukutoa kapa!.Hivi siku hizi unakula maharage ya wapi? Naona taratibu yanapanda kichwani,akina Msiba wapo wengi sana kwwnye hii nchi, Kiufipi Pachal unakera, jnahaibisha na njaa kamwe haitakufikisba sehemu nzuri, jifunze kifumba mdomo..
Wazungu unaowananga unalingana nao kwenye nini???
Ngumu sana kukuelewa, mana hawasomi ulichoandika bali hupepesa macho tu kwenye andiko lako na hukurupuka ku comment. Tuwasamehe tu, mana wao wanajua tu kupepesa macho na kuandika.Ukinisoma taratibu with an open mindedness utanielewa, otherwise, pole kwa kukutoa kapa!.
P
Magufuli zero marks kwenye huyo yeye ni show off tuHe has none of the above and people are expecting miracles from this fella!!!
- Honesty and Integrity. ...
- Inspire Others. ...
- Commitment and Passion. ...
- Good Communicator. ...
- Decision-Making Capabilities. ...
- Accountability. ...
- Delegation and Empowerment. ...
- Creativity and Innovation.
😡😡😡