Kiongozi anapaswa kuonekana hata ofisini, Siyo Makanisani tu, watu watajua anaenda kuombewa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,330
Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania.

Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo lililoshangaza wengi , Sisi wengine tulitarajia labda atokee ofisini kwake au kwenye majukumu mengine ya kitaifa

Sasa kwa kiongozi ambaye watu wanatilia shaka afya yake anapoonekana mara kwa mara makanisa badala ya Ofisinii kwake , Tafsiri inayokuja ni kwamba , aweza kuwa mgonjwa kweli na yuko makanisani kutafuta Uponyaji , maana haiwezekani kiongozi mwenye afya njema kutoonekana Ofisini kwake .

Screenshot_2023-12-25-16-01-05-1.png
 
Mkuu hutaki viongozi washiriki ibada hope ungeenda ofcin kwake ungemwona huko anaonekana kirahisi kutokana na watu wa media
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom