Kinywaji gani hiki wakuu?

Maeneo ya ziwani haya!..Mkuu, acha kuzuga bana...Hii ni Rubisi!
 
mkuu hapo ni maeneo ya pwani........, so i think ni MNAZI huo.......!
 
Bila ajizi hiyo ni Juisi ya ukwaju, pale Bagamoyo Boma.
 
Ni mirinda, sprait, koka n.k (nyingine hazionekani vizuri)....
 
They call it Togwa
Made:
Wanachemsha kama uji, unakaa siku kadhaa unachachuka
Then unakuwa tayari kwa matumizi
Non-alcoholic drink.....
Ni nzuri ikitumiwa na mabumunda, Mabindo, Kashata au bagia za kunde!!!
Karibuni yote!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…