Kinywaji "Double Kick" kinamaliza vijana

Hiki kinywaji pamoja na ile BINGWA viliwahi kumuua anko wangu mmoja uko mkoani,

Alimix DOUBLE KICK+ BINGWA akalewa na akavua nguo zote,
Alienda kujitumbukiza mtoni kupambana na mamba aliekua anakula ngombe wakivuka mto.

Kilichomkuta Aling'atwa kiuno,
Akaishia kufariki kwa majeraha makali miez miwili baadae[emoji26]
 
Hahaha hao ndio ma JOKER sasa
 
Mkuu Double kick inaingia sokoni Bingwa ilikuwa haipo tena.
 
Back
Top Bottom