Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Azamu enegy drink ni nzuri kuliko mo energy kwa sababu nikinywa azamu energy najisikia vizuri tu ila mo inanipa shida sana kwenye viungo


Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Bora wewe umeliona hili
sidhani kama issue ni Mo, hivi vinywaji vyote vya energy sio vizuri unaweza kupata matatizo makubwa ya afya. ila Mo naye bidhaa zake viwango anavijuwa mwenyewe hata maji ya kunywa tu chupa zake na seal ni quality mbaya labda ndio njia ya kuongeza faida sijakuwa mshabiki wa bidhaa zake.
 
Una matatizo gani hadi unywe bidhaa hii
 
Nyie watu kahawa mnakunywa mpaka basi,unaogopaje caffeine ya kwenye energy drink?

Coca cola ina kiasi kikubwa cha caffeine kuliko redbull,ila ninawashangaa mnapozungumzia madhara ya hizo energy drink kwa kuogopa cafeine na wakati mnahalalisha soda na kahawa za vijiweni!
Huu ni umbumbumbu na matokeo ya elimu duni.

Hatari ya energy drink ni kiwango cha sukari iliyomo.Hayo mambo ya caffeine kama ni hatari,basi epuka unywaji wa soda,kahawa,cocoa,Milo,ulaji wa chocolate,na energy drink zote.
 
mnatuponda wanywa energy,wakati nyinyi ni walevi wa pombe.

ukikuta mlevi anaichanganua pepsi au energy unaweza sema"My God nakufa kesho".
Hayo ma energy yanaua ghafla tusiwe mbishi.
 
Ushawahi kuambiwa usinywe coka zaidi ya mbili kwa siku? Tafakari chukua hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…