Kinywaji cha Mo Extra: Ni mimi tu au na wengine...?

Write your reply...
hiyo kitu ni kama vumbi la kongo tu

apa asubuhi hii napata safari bariiidi
 
EPUKA ENERGY DRINK ZOTE ! Hizo zinaitwa energy drink lakini kiuhalisia zina kemikali ambazo zinafanya moyo udunde haraka zaidi uwe kama mtu anayefanya mazoezi makali. Kama una tatizo la moyo au sukari au tatizo lingine la mwilini usinywe kabisa energy drink yoyote kuanzia red bull n.k.
 
Hivyo vinywaji vya energy-Vyenye cafein- vina madhara sana. Ndio maana hata coke/peps siyo nzuri sana kwa afya zetu
 
Nilikunywa ghafla nikaanza kujisikia vibaya mnooo ....naona giza.... mapigo ya moyo yanaenda kasi si kawaida....kwenda hosp nikaambiwa nisirudie kunywa hicho kinywaji maana huwa na tatizo la presha ya kupanda kwa hiyo ni hatari sana kwangu.
Usije thubutu kunywa Redbull na hata pafu moja tu ya kahawa
 
Msisitizo hapo ni kuavoid vinywaji vyenye caffeine,kikawaida sio vizuri kwa afya ya watumiaji,hata kama huna tatizo la kiafya lakini jua kuwa mwisho wa siku vitakuletea shida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…