Kinyozi

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,315
7,731
Jamaa alichungulia kwa kinyozi akauliza, "Nataka kunyoa nirudi baada ya muda gani?" Kinyozi akajibu,"Niko bizi rudi baada ya masaa mawili". Baada ya wiki jamaa akarudi tena, akauliza swali lilelile kinyozi akajibu,. "Rudi baada ya nusu saa".Wiki ya tatu akarudi akauliza tena swali lake , kinyozi akamjibu, "Rudi baada ya saa moja". Safari hii kinyozi akamwita mtoto mmoja akamwambia, "Hebu mfuate yule jamaa ujue anaenda wapi". Baada ya muda mtoto akarudi akamwambia kinyozi, 'Yule jamaa kaenda nyumbani kwako'
 
Maskini kinyozi, kumbe jamaa anamsaidia nyumbani kwake? Laaah...!
 
sasa jamaa mbona akiambiwa rudi baada ya muda fulani harudi katika huo muda? ama kwa kuwa anaenda nyumbani kwa kinyozi kunyolewa na wife wa kinyozi.
jamaa kinyozi na mkewe pia anahesabu vichwa.
 
Ingekuwa mimi ningemfuata huko kwangu nikamnyoe nywele zote mpaka asizotaka kunyolewa mshenzi huyo
 
hahahahahahahaa..., mkuu Endangered that's hell of an answer kudadeki.., kwa hiyo kama wapo wengi kwa line utamwambiaje?

Mkuu, Mbimbinho ukiona hivyo ndo kuchanganyikiwa huko. Usfanye mchezo na mke aisee. Nafuu tu nimwambie mi ni kinyozi express, vinginevyo niko hatarini!
 
Last edited by a moderator:
Huyo jamaa mjanj xan coz alikuwa anachza na akil ya knyoz .......Ila kwa magrt thqr ipo cku na yy angchzewa cz mla cha mwenzie na chak pia huliwa
 
Back
Top Bottom