Kinyozi na Mswahili Mvivu

Sizinga

Platinum Member
Joined
Oct 30, 2007
Posts
9,540
Reaction score
7,371
[h=6]Mswahili mmoja mvivu sana alikwenda kwa kinyozi, alipokaa tu kwenye kiti kinyozi akamuuliza unataka kunyolewa ndevu au nywele? Mvivu akajibu ndevu, kinyozi akamwambia inua kichwa basi, jamaa kwa uvivu akamwambia basi nyoa nywele [/h]
 
teh teh, hii nimeipenda kiukweli!
 
Mvivu kama wale jamaa wa kabila la ........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…