frank wakug
Member
- May 26, 2012
- 6
- 0
eti wadau km ktk kunyoa kinyozi mashine ikamkata mtu ambaye n muathirika, je kirus hukaa kwa mda gani? nje.
Kirusi hakiwezi kukaa chenyewe zaidi ya sekunde tano, labda kiwe kwenye mazingira ya damu,, ukimwi huambukizwa kama kunakua na direct contact na muathirika,,, mashine haiwezi ambukiza ila huwa wanashauri iwe stererized ili kuzuia na magonjwa mengine kam ngoz, mmba etc
uwezo wa kuambukizwa upo kwa sababu kirus akiwa nje ya damu huwa anajibadili na kuwa katika hali ya INACTIVE lakn akishaingia kwny damu au katika ktu chochote kinachosapoti yeye kuishi basi huwa ACTIVE Na kuendeleza mashambulizieti wadau km ktk kunyoa kinyozi mashine ikamkata mtu ambaye n muathirika, je kirus hukaa kwa mda gani? nje.