Mdudu Wa Masala
Senior Member
- Feb 17, 2012
- 134
- 79
Jamaa kaingia kwa kinyozi
na
mtoto,akaomba anyolewe
nywele na ndevu.
Alipomaliziwa
akasema mtoto
pia anyolewe,akaaga
kuwa
anaenda dukani
kumnunulia
mtoto viatu. Masaa matatu
yakapita
jamaa
bado haonekani.Kinyo zi
akamwambia mtoto,"Oyaa
babako amekusahau?"
Mtoto
akajibu,"Yule sio baba
yangu...mi nilikuwa napita
hapo nje,akanishika mkono
akaniambia tuingie hapa
tunyolewe bure!"
na
mtoto,akaomba anyolewe
nywele na ndevu.
Alipomaliziwa
akasema mtoto
pia anyolewe,akaaga
kuwa
anaenda dukani
kumnunulia
mtoto viatu. Masaa matatu
yakapita
jamaa
bado haonekani.Kinyo zi
akamwambia mtoto,"Oyaa
babako amekusahau?"
Mtoto
akajibu,"Yule sio baba
yangu...mi nilikuwa napita
hapo nje,akanishika mkono
akaniambia tuingie hapa
tunyolewe bure!"