Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,967
- 13,400
Mkozenu safarini kuelekea Kisiju,kufika sehemu Dereva akacmamisha gari ili mkachimbe dawa pia mkamkuta mkazi wa pale naye alikuwa anajisaidia alivyomaliza akachukua kinyesi chako na kukiweka kwenye mfuko wa Rambo na ww unamuona je?utarudi umùulize jamaa kinyesi chako anataka kukifanyia nn au utawahi kwenye Bus,maana Kondakta anapiga kelele