wewe umekunya mavi kama ya mbuzi leo ndo maana una hasiraMleta mada keshavurugwa since long !
-Kaveli-
kweli miss natafuta.umefungua sikuleo hebu tujadili mambo ya maana kidogo .kila kitu duniani kina maana yake .hivi unajua kinyesi chako kinadefine ulivo yaani kitabia.kiafya na kiakili !
kuna aina mbalimbali cha choo/kinyesi kutokana na muundo wake/shape
sasa tutaangalia kila mtu na kinyesi chake na tabia zake.
ukitaka kuprove siku ukipata choo cha aina flani utashangaa unakuwa na tabia flani ,na mood flani etc
![]()