Kinungu cashewnut zinapatikana kwa bei poa

Muslimkinungu

Member
Joined
Dec 21, 2019
Posts
11
Reaction score
3
Hizi ni korosho safi kutoka kusini mwa Tanzania, Mtwara. Kama kijana niliyeamua kujiajiri nawaletea bidhaa mzuri sana ya korosho mzuri na tamu pia.

Napatikana Dar es salaam lakini na mikoani pia natuma. Ila pia Instagram niko available as _muslim_cashewnut na unaweza nichek Whatsapp kwa namba 0658460989 na korosho zangu ziko kwa bei ya kawaida kuna za elfu kumi, elfu tatu na elfu moja kwahiyo kila mtu anapata.

Na kingine napenda kuwasihi vijana wenzangu fursa zipo nyingi, hatuhitaji kuwa nyuma tena.

IMG-20191214-WA0003.jpeg
IMG-20191214-WA0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana nakuona ofisini sioni hizi kazi
Hizi ni korosho safi kutoka kusini mwa Tanzania, Mtwara. Kama kijana niliyeamua kujiajiri nawaletea bidhaa mzuri sana ya korosho mzuri na tamu pia.

Napatikana Dar es salaam lakini na mikoani pia natuma. Ila pia Instagram niko available as _muslim_cashewnut na unaweza nichek Whatsapp kwa namba 0658460989 na korosho zangu ziko kwa bei ya kawaida kuna za elfu kumi, elfu tatu na elfu moja kwahiyo kila mtu anapata.

Na kingine napenda kuwasihi vijana wenzangu fursa zipo nyingi, hatuhitaji kuwa nyuma tena.

View attachment 1305721View attachment 1305722

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom