Kinondoni Muslim High School Alumni

Kinondoni Muslim High School Alumni

Kaka

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
745
Reaction score
373
Salaam wakuu
Uzi huu ni mahususi kwa waliosoma elimu ya sekondari kidato cha nne na au sita katika shule ya sekondari ya Kinondoni Muslim. Lengo hasa ni kutambua na kuheshimu mchango wa shule hii kitaaluma na katika maisha yetu kwa ujumla.

Vile vile tutajifunza kutoka kwa alumni wa mashule mengine namna tunavyoweza kuchangia maendeleo ya kitaaluma katika shule hii kwa kuwa hapa tulipo sasa ni sehemu ya mchango wa shule hii.

Tukumbushane!
 
Hii ndo shule iliyokuwa na idadi kubwa ya mashori wakali Dar nzima.

Kwa haraka haraka nawakumbula Leyla, Kuluthum, Rehema, Zena, na Nina.

Cc: The Boss
 
Last edited by a moderator:
Hii ndo shule iliyokuwa na idadi kubwa ya mashori wakali Dar nzima.

Kwa haraka haraka nawakumbula Leyla, Kuluthum, Rehema, Zena, na Nina.

Cc: The Boss
Mkuu umetisha nimekumbuka mbali sana lazima uwasubiri jirani pale America Chips ya enzi hizo achana na America Chips ya sasa ya wasambaa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umetisha nimekumbuka mbali sana lazima uwasubiri jirani pale America Chips ya hizo hizo acha na America Chips ya sasa ya wasambaa.

Ahahahaaaaaa.....daaaah.

Nimekubali wewe hujaja mjini na gari moshi.
 
Ridhwaa au ipi mkuu?

Si umeambiwa kinondoni?? Hiyo unayotaja wewe ni ya juzi juzi tu pale mkwajuni. Ukitaka weke uzi wake utawapata wenzako!!..jamaa anataka muslim shule kongwe kbs dsm
 
Si umeambiwa kinondoni?? Hiyo unayotaja wewe ni ya juzi juzi tu pale mkwajuni. Ukitaka weke uzi wake utawapata wenzako!!..jamaa anataka muslim shule kongwe kbs dsm

mkuu ile nayo ni muslim na ipo kinondoni.

Mimi siyo zao la shule za aina hii.
 
A level wa kwanza walimalinza mwaka 1997 na waliofuata 1998 kama tukumbukane
 
seriously??!!! kuzidi jangwani,forodhani,zanaki,kisutu??

Oh hell yeah...and by a long shot.

Unajua kwa nini Kinondoni ilikuwa inasifika kwa kuwa na wanafunzi 'malaya'?

Ni kwa sababu ilikuwa na totoz kali ambazo watu kibao walikuwa wakizifukuzia hadi kujenga taswira miongoni mwa baadhi ya watu kuwa hiyo shule imejaa hao 'm'.

Binafsi siamini kama wanafunzi wa Kinondoni walikuwa wako hivyo.
 
hilo ndio nilikuwa nalisikia umaarufu wao.
 
Back
Top Bottom