kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 326
sijishaui kiroboto21 nilikuwa namjibu mwenzio aliyeniuliza swali.
Okay,Samahani kama nilikukera
Last edited by a moderator:
sijishaui kiroboto21 nilikuwa namjibu mwenzio aliyeniuliza swali.
mkuu ile nayo ni muslim na ipo kinondoni.
Mimi siyo zao la shule za aina hii.
hilo ndio nilikuwa nalisikia umaarufu wao.
Hii ndo shule iliyokuwa na idadi kubwa ya mashori wakali Dar nzima.
Kwa haraka haraka nawakumbula Leyla, Kuluthum, Rehema, Zena, na Nina.
Cc: The Boss
Ni muslim ila sio kinondoni muslim!! Kwako wewe X na kuzidisha ni sawa? Kinondoni muslim nijina la shule! Haikuitwa hivyo sababu ya waislam!!..kama na hapa hujaelewa basi utakua na ubongo wa panzi!!!
sijishaui kiroboto21 nilikuwa namjibu mwenzio aliyeniuliza swali.
Ni muslim ila sio kinondoni muslim!! Kwako wewe X na kuzidisha ni sawa? Kinondoni muslim nijina la shule! Haikuitwa hivyo sababu ya waislam!!..kama na hapa hujaelewa basi utakua na ubongo wa panzi!!!
enzi hizo ukimwi ulikua hauna kituliza kasi!!!
Hivi umenijibu au umeniuliza swali?? Mshamba huwezi umevamia mada za wajanja weka uzi wa shule yako kigulunyembe haya ya mjini huyawezi utaishia kuuliza uliza tu na kutupotezea muda
Inategemea kipindi hicho wewe wapi Upanga, Oysterbay, Kariakoo, Kisutu, Kinondoni, Mikocheni, sababu kuna vìjana wa maeneo mengine walikuwa hawafiki viwanjani.Kaka kuna sheb na forodhani pia kulikuwa na watt wazuri hatare
Hivi umenijibu au umeniuliza swali?? Mshamba huwezi umevamia mada za wajanja weka uzi wa shule yako kigulunyembe haya ya mjini huyawezi utaishia kuuliza uliza tu na kutupotezea muda
........no need to be harsh.....
no wonder kweli wewe ni zao la Kinondoni muslim
Inategemea kipindi hicho wewe wapi Upanga, Oysterbay, Kariakoo, Kisutu, Kinondoni, Mikocheni, sababu kuna vìjana wa maeneo mengine walikuwa hawafiki viwanjani.
R I P Mwalimu sharifu
Hii ndo shule iliyokuwa na idadi kubwa ya mashori wakali Dar nzima.
Na ndiyo ilikuwa ikiongoza Dar es salaam kwa division Zero nyingi zaidi nimeelewa kwa nini ilikuwa ikitoa division zero nyingi mashori walikuwa wengi!!!!