Kinondoni Muslim High School Alumni

Kinondoni Muslim High School Alumni

Alumni ipo siku nyingi nadhani mwenyekiti ni Abubakar Mgumia kama sikosei. Baadhi ya waliowahi kupita Kinondoni ni mh. Zungu na Charles Hillary wakati huo akiitwa Njonjo.
 
Alumni ipo siku nyingi nadhani mwenyekiti ni Abubakar Mgumia kama sikosei. Baadhi ya waliowahi kupita Kinondoni ni mh. Zungu na Charles Hillary wakati huo akiitwa Njonjo.

Huyu Abubakar Mgumia ndio yule alikuwa RC?? Kama ni yeye mbona nilisikia alishafariki??
 
Alumni ipo siku nyingi nadhani mwenyekiti ni Abubakar Mgumia kama sikosei. Baadhi ya waliowahi kupita Kinondoni ni mh. Zungu na Charles Hillary wakati huo akiitwa Njonjo.

Bila kumsahau Aboubakar Liongo..
 
Heee kumbe aloshafariki?? RIP alikuwa mnene huyo na Head Master Mruma yupo wapi siku hizi au bado yupo hapo??

mwalimu sharifu alikufa muda mrefu sana kwake msasani na mwalimu mruma alipekekwa al haramain pale shimo la udongo muda mrefu ss sijui kafia wapi
 
Mkuu umetisha nimekumbuka mbali sana lazima uwasubiri jirani pale America Chips ya enzi hizo achana na America Chips ya sasa ya wasambaa.

Yaah ile American chips ya ya zamani ya Jimmy, Shule hiyo ina kumbukumbu kubwa sana, maana shule za private kwa Dar zilikuwa chache sana, Vituka, Kino Muslim, Shaban Robert, Mzizima

kumbukumbu nzuri kwa kweli
 
no wonder kweli wewe ni zao la Kinondoni muslim
Dharau haiwezi kukufikisha popote mkuu,
Maana yako kwamba sisi tuliopitia shule hii umetugrade vipi yaani?
Umekuja na maswali yasiyo na mantiki na umejibiwa inavyostahiki ....
Haiwezekani watu wanaongelea KINONDONI MUSLIM HIGH SCHOOL,
wewe unaulizia RIDHWAA SEMINARY ni vitu viwili tofauti,
Ridhwaa ipo mkwajuni, na KMHS ipo barabara ya kwenda ubalozi,ukikatia manyanya/mwanamboka.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Najivunia kupitia hapa, nakumbuka kipindi nipo form 1 yule jamaa anyejiita Dira aliyekuwa katika kundi la university corner kipindi hiko wakitamba na wimbo wa tshirt na jeans alikuwa form six pale,
Imetoa vipaji vikali sana hii shule,
Na yule mzee mwenye mvi RIP aliyekuwa katika mizengwe na kina zembwela na mkwere ndio alikuwa mlinzi wa getini pale.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom