Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,408
Hakuna hajaTulitaraji hawa wangekuwa tofauti na ccm; kama wanafanana kuna haja gani ya kuitoa ccm?!
Hakuna hajaTulitaraji hawa wangekuwa tofauti na ccm; kama wanafanana kuna haja gani ya kuitoa ccm?!
Angekuwa Mbunge kama Babu Tale tatizo alitumia njia isiyo sahihi.Mwaka 2015 pasipo namna-namna Kingwendu angewakilisha wananchi wa KISARAWE kupitia CUF, mtifuano ulikua mkali haswa. NB: Tofaut na Babutale (aliye pita bila Kupingwa) huyu Kingwendu alipambana mpaka mwisho.
View attachment 2488610View attachment 2488618
Alifanikiwa wakapindua matokeo kingwendu alishinda asubuhi na mapemawanakisarawe walimwelewa yeye aliwasemesha kizaramo akawaambia mwenye shibe hamjui mwenye njaa wachague mwenye njaa mwenzakoKweli alikaza sema hakufanikiwa
Hahah! MantashakaWatanzania wanapenda sana mizaha