Nafikiri wewe ni katika wale wanaoamini kuwa ubunge, uwaziri na vyeo vingine ni nafasi ya watoto wa vigogoAre you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Si Kingwendu tu, muda wa mabadiliko ukiwadia hata jiwe litachaguliwa kuongoza ili mradi mabadiliko yatimie!Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Ng'waka huu mntanyoosha maelezoKiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Kwa lipi uone Kingwendu hafai na haujasema kama Lusinde au January wametoa msaada upi kwa taifa hili.
Hivi hao Maprof. na MaPhD wa CCM wametusaidia nini zaidi ya kupora kisomi rasilimali za nchi hii..!!!
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Wacha wivu mkuu. Tumewapa Ubunge watu wenye ma Phd na tulichoambulia ni kupigana kama watoto. Am sure Kingwendu can do better.. Slogan kwa Kingwendu basi " Ulipo Tupo"Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo