nashukuru kwanza umeelewa maana kama usingekuwa umeelewa ungeuliza. Big up mkuu kiswahili chetu sotekiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... Badala ya kisarawe
haijalish hata kama kaandika kisalawe mabadiliko ni palepaleKiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Bora Kingwendu kuliko Lusinde na Asumpta Mshama.Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
kwani ja people na yule wa rorya nani mwenye nafuu?are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Unaumwa wewe, mbona mchawi sijui mganga wa kienyeji korogwe ni Mbunge, utamfananisha na Mhe. Kingwendu? Umewahi kumsikiliza Kingwendu au unaropoka tu?Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo
Kiswahili kinapotea kabisa yaani mtu timamu kabisa anaandika kisalawe.... badala ya Kisarawe
Are you serious kweli kingwendu awe mbunge lazima kunatatizo