[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama nje ya nchi watu wanaenda kama wanaenda tandale siku hizi haya mzee mwezangumerry christmas and happy new year na eid mubarack rafiki yng pwilo nilikuwa nje ya nchi jumapili nasafirii tena kwenda pakistan
cwezi fanya ujinga wa kubeba sembe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kama nje ya nchi watu wanaenda kama wanaenda tandale siku hizi haya mzee mwezangu
Ulikamatwa na sembe nini??
Wee lazima utakuwa pale chini ya daraja la ubungo pale Songaz ukifanya mambo yako pale chini kabla ya kuandika huu uzi.Mwaka jana nilikuletea exclusive ya wachezaji watatu wa team ya Stuttgart ya Germany waliosimamishwa kwa kosa la kutoroka hotelini kuhudhuria show ya Diamond lakini ya leo ndio kali na kubwa zaidi.
Chanzo changu kimeniambi yule comedian/musician aliyeuza ubunge majuzi mr Kingwendu ngwendulile amepata bahati ya kufanya kazi na demu wa kiungo wa arsenal(Ozil)aitwaye Mandy Capristo.
Bahati hiyo ilkuja majuzi wakati kingwendu alipofanya show kali Jijini Frankfurt ndipo Erwin Bach ambaye ni mumewe Tina turner na music executive wa Kijerumani alipovutiwa na nyimbo kali za Ngwendulile,akamfata backstage na kumpa deal hilo
Stay tuned kwa habari zaidi,maana nafuatilia suala hili kwa karibu.View attachment 315569
Lakini boss wake wa tandale ana beba sembecwezi fanya ujinga wa kubeba sembe
HahahahaaaaWee lazima utakuwa pale chini ya daraja la ubungo pale Songaz ukifanya mambo yako pale chini kabla ya kuandika huu uzi.