Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,322
- 219,640
Mwanachama wa CUF na Mgombea Ubunge wa Chama hicho , Kingwendu , leo ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na ccm
Hajapata sukari mwezi wa tatu huu.Anajaribu kama atapewa asali kule CCM.Kingwendu mbona kafubaa hivyo
Unafurahisha umekuwa afisa habari wa CCM?Au umenyimwa mgao wa maandamano?Mwanachama wa CUF na Mgombea Ubunge wa Chama hicho , Kingwendu , leo ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na ccm
View attachment 2895412View attachment 2895414
Mimi ni mwandishi wa JFUnafurahisha umekuwa afisa habari wa CCM?Au umenyimwa mgao wa maandamano?
Kakuajiri nani wewe zumbukuku hata ujiite Mwandishi?Umesomea wapi journalism?Au ndio wake makanjanja watoa taarifa?Mimi ni mwandishi wa JF
Ndio yeyeHuyo pembeni mi Muhogo Mchungu au?
Huyo pembeni mi Muhogo Mchungu au?
Moja ya sera alizomwaga 2020 ni tumbo kama mfuko wa kinyozi!Mwanachama wa CUF na Mgombea Ubunge wa Chama hicho , Kingwendu , leo ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na ccm
View attachment 2895412View attachment 2895414
kwani wewe ulivyoandika hapa jf huu utumbo wako umeajiriwa ? inawezekana ukawa na chuki na mimi kwa sababu ya mawe kabambe ninayoipa ccm na mamluki wake , lakini ni vema ukatafuta sababu za maana zaidi ili kunishambuliaKakuajiri nani wewe zumbukuku hata ujiite Mwandishi?Umesomea wapi journalism?Au ndio wake makanjanja watoa taarifa?