LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,213
- 14,924
Kwani huko upinzani ulipojenga ngome ccm ilikuwa imetelekeza hiyo mikoa? Kilimanjaro, Mbeya, Kigoma, Dar, Mwanza, Shinyanga, nk, mikoa hii iko mbali kimaendeleo kulinganisha na Tabora, sasa ccm kwavile haipendi watu waelimishwe kuhusu haki zao ndo wanalalamika Tabora wataamka. Ushahidi uko wazi, ona vionngozi na wabunge wa cm wanavyo jaribu kuzuia watanzania kuangalia bunge. Yaani hawataki tuelewe wanavyo tufanya matractlr yao. Naamini siku yaja ccm mtakufa wote