masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,410
- 14,119
Yeye mwenyewe Kingubge ana usafi gani?Mwanasiasa mkongwe wa chama cha mapinduzi na kada mshauri wa chama Kigunge Ngombare Mwilu asema wagombea urais CCM hakuna aliye msafi mwenye kumnyoshea kidole mwingine kwamba ni mchafu.
Ameenda mbali zaidi na kusema wagombea wote watatumia fedha na wote wanahitaji fedha hivyo haina haja ya kuonyoshea vidole wengine hivyo wananchi wanachotakiwa ni kupima utandaji wao.
Chanzo: itv
Mzee wa watesi wa maalbino!