Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

Kingunge kuitikisa nchi kwa Chopa

mpk

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
3,115
Reaction score
3,864
Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.
 
Mganga anapoingia uwanjani kuisaidia timu yake.
 
Mipango inafanywa na iko mbioni kukamilika ambapo mwanasiasa mkongwe na mahiri nchini Kingunge Ngombale Mwiru atalitikisa anga la Tanzania kwa chopa. Ziara yake itaanzia kanda ya ziwa kuwaeleza watanzania jinsi Ccm ilivyoishiwa pumzi.

Hicho kizee kweli kina wafuasi?
 
kingunge anazidi kuwa kijana kumukuchwa.
 
Kingewezaje kukaa Ccm kwa miaka 61?

Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!
 
Hicho kizee kweli kina wafuasi?

Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.

Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.

Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.
 
Lowasa out!! unachekesha kwelikweli watanzania wachotaka ni mabadiliko na sivinginevyo
 
Asante sana mzee wetu Kingunge kwa kutuongezea ujasiri na kutambua kwa mabadiliko ni muhimu. Kama wazee wetu km hawa waliweza kufanya mabadiliko kutoka TANU kwenda CCM kwanini ishindikane sasa hv. Hili ni anguko kubwa sana kwa CCM.
 
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!

Mafisiem kwa akili za kushikiwa na kuigaiaga ni sheeeeda, UKAWA wanasema "CCM OUT" na wewe eti unasema "LOWASA OUT" kwani LOWASA alikuwa in gani? CCM ndio wako in ya Ikulu hivyo wanatakiwa watolewe OUT.
 
Acha maneno ya kejeli zombie wewe vinginevyo uwe umejijua kuwa utakufa kabla hujazeeka vinginevyo jiandae kuitwa hivyo hivyo

Hilo jina la Zombie usilitumie tena, Zombie ni jina kapewa mgombea urais mmoja wa kutoka upinzani. Shauri yako, utaondolewa kwenye max malipo.!
 
Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.

Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.

Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.

Wewe umekijuaje? au na wewe ni mzee? basi kwa taarifa yako dotcom huenda ndio hawamjui sana ila kwa sisi wa 70 mpaka late 80 anajulikana na kulikuwa kulikuwa kunatumika neno KINGUNGE kuonesha mtu mzito au mwenye wadhifa fulani. Ficha ujinga wako kama hujui
 
Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.

Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.

Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.

Hicho kizee kimejidhihirisha kwamba kwa nini hakina hata dini.
 
Sasa kama hicho kizee kimekaa ccm miaka 61 inamaana ndio kimeiharibu ccm kwa kulea mafisadi kiliowafuata huko chadema. Na hicho kizee nitashangaa sana kama nacho kitaungana na Sumaye kusema eti ccm haijafanya chochote kwa miaka 54 wakati kizee hicho kimekaa miaka 61!! nani wa kulaumiwa? Kizee hata kifanye nini kizee kimechelewa na wananchi wameshafanya maamuzi, LOWASA OUT......!

Wananchi wa wapi? Harafu nyie wazee ndio mmefanya nchi imefika hapa ilipo ujana wako woote uliridhika tu kuongozwa na Serikali ambayo inamjari mgeni kuliko raia wake
 
Si tu hakina wafuasi.Kilikuwa kinajulikana zaidi kwa viongozi wenzie wa CCM wa juu lakini sio wanachama.Hata kwao Kipatimu hawakijui wanaokijua ni wazee wachache walio sawa na umri wake.

Hata CCM walishakibwaga muda mrefu kwenye uongozi.Wakati wa mchakato kumtafuta mgombea uraisi kwa tiketi ya CCM hicho kizee hakikuwa mjumbe wa kamati kuu,halmashauri kuu wala mkutano mkuu.Ukisikia kinasema taratibu hazikufuatwa ni kwa kuambiwa na Lowassa.Chenyewe hakijui yaliyoendelea ndani ya vikao zaidi ya kuambiwa.Hakana original data.Waandishi wa habari wakabane wakaulize ulijuaje mchakato ulivyokwenda wakati wewe si mshiriki wa vikao.

Hako kazee hakana nguvu kisiasa kama kanavyojinadi kangekuwa na nguvu ya kisiasa Lowasa asingekatwa jina na CCM.Ni kazee fulani kababaishaji ka mjini.

Kauli yako inaonekana haina uadilifu. Wewe ulitaka atumie madaraka yake kama baba Riz. Huyu mzee ni muadilifu na anafahamu taratibu za chama ndio maana hakuweza kutumia madaraka yake vibaya.
 
Safi sana awazoe wazee wenzake wote ambao hawataki kubadilika. Pia apite ukanda wa pwani
 
Mafisiem kwa akili za kushikiwa na kuigaiaga ni sheeeeda, UKAWA wanasema "CCM OUT" na wewe eti unasema "LOWASA OUT" kwani LOWASA alikuwa in gani? CCM ndio wako in ya Ikulu hivyo wanatakiwa watolewe OUT.

gani ndio nini!? LOWASA OUT OUT OUT OUT!
 
Hicho kizee kweli kina wafuasi?

Anao wafuasi kibao! Hakuna MTU mwingine aliyekuwa mfuasi wa ccm kwa dhati kama Kingunge! Ukiona fisi ameizira mifupa, ujue hiyo mifupa haimfai MTU yeyote! Kingunge na ccm ilikuwa kama fisi na mifupa. Ukiona kingunge amekisusa ccm, ujue ccm haifao na haitengenezeki tena!
 
Back
Top Bottom