hii reli itakuwa mkombozi sana wa uchumi, na itakimbiza sana uchumi kwenye maeneo inakopita. na hii ndio legacy kubwa mbayo tutamkumbuka magufuli nayo. bado Samia, afanye kitu kitakachotufanya tumkumbuke na yeye. nampenda mama yetu na nina imani naye.