King Kong: Wanakubali kiaina

Kuna ngoma moja aliifanya nadhani mwaka 2009 au 2010 kwa pfunk nadhani inaitwa jiachie...ni ngoma naikubali mno nimeitafuta platform nyingi siipati..msaada mwenye nayo
Ile ngoma ni kali sana yan unakuja kuilewa kuwa ni ngoma inayohusu Ukimwi nyimbo karibia inaisha bonge moja la beat afu chid kapita nayo machafu huko Maunda zoro akiwakilisha ipasavyo kwenye chorus
 
Kuna ngoma moja aliifanya nadhani mwaka 2009 au 2010 kwa pfunk nadhani inaitwa jiachie...ni ngoma naikubali mno nimeitafuta platform nyingi siipati..msaada mwenye nayo
Nenda mp3juices.cc unaweza ibahatisha huko...
 
Back
Top Bottom