King'amuzi gani kiko vizuri kwa Bei na uimara?

Kwanza una video ya namna gai...!!!!!!!?
Maana usije kuomba ushauri na chogo lako la nchi 14
Ukasumbua watu hapa
 
Wana JF naombeni msaada wa mawazo nataka nimchukulie bi mkubwa king'amuzi ili naye awe karibu na ulimwengu.. Je ni kin'gamuzi kipi kitacho mfaa kwa mazingira ya kijijini?

Natanguliza shukrani
 
Wakuu habari zenu.
Jamani naombeni ushauri king'amuzi kizuri kwa sasa;gharama yake kwa sasa na malipo ya kila mwezi.Napenda inayoonesha local chanel bila kulipia
 
jamani TV yangu inaking'amuzi mojakwa moja Sasa naweza nunua king'amuzi kingine na ikafanya kazi, kama king'amuzi cha azam hivi ?
 
Wana JF naombeni msaada wa mawazo nataka nimchukulie bi mkubwa king'amuzi ili naye awe karibu na ulimwengu.. Je ni kin'gamuzi kipi kitacho mfaa kwa mazingira ya kijijini?

Natanguliza shukrani

Mchukulie azam, wanaonyesha laliga.
 
jamani TV yangu inaking'amuzi mojakwa moja Sasa naweza nunua king'amuzi kingine na ikafanya kazi, kama king'amuzi cha azam hivi ?mbona hamnijibu , au hamna ufaham Nazo????
 
Startimes ni cheap ila uvumilie maana hata gari likipita nje ya nyumba ujue huduma itakata na utakutana na neno no service
 
Azam ni noma sana,wapo vizuri.Nilitumia cha star times,nikatupa kule.


Azam wapo vizuri ila remote zao sio imara, dstv wazuri zaidi ni imara, tatizo lao ni gharama na local channel ni chache, startimes wana hardware imara ila ndo hivyo ya CCM wanahujumu baadhi ya channel....
 
hahaa et watu wanalipia zuku, hebu chek kama una kaujuz kidogo tu kakuformat channelz zote za zuku na kuziscan fanya hiv. ..1. Format channelz zote na itabak au zitabak zile za default. 2. Tega decoder yako kwenye search mode 3. Panda kwenye dish, hapo ulipotegea zuku shusha dish kidogo sana kama sm3 hivi alafu funga vizur. 4. Scan decoder yako enjoy

hii kitu vipi bado inafanya kazi?
 
Back
Top Bottom