King'amuzi Cha startimes kukosa sauti

King'amuzi Cha startimes kukosa sauti

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,548
Reaction score
4,487
Habari za usiku wadau wangu? Nina shida moja nimeileta hapa jukwaani.King'amuzi change Cha antena Cha kampuni ya startimes hakitoi sauti na nimejaribu settings zote zimegoma na ishu Ni kwamba nilikifungia 6months ago bila kukitumia picha zipo clear Sana ishu Ni sauti tu.Naombeni msaada wenu.Note sijalipia muda wa hewani kwa miezi yote 6
 
Back
Top Bottom