mr smoke
Member
- Feb 25, 2015
- 16
- 12
Habari wana JF wenzangu,
Naombeni msaada kwenye king'amuzi cha star times most of channel are not available even TBC na channel ten nnatumia antenna yao ya kawaida (yagi ulda) na nimelipia kifurushi still naona itv,star tv,eatv even tv1 haipo nipo maeneo ya mwika msae kilimanjaro.