King'amuzi cha DStv

new generation

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
815
Reaction score
1,713
Habari zenu wadau wa jf hasa jukwaa hili. Jaman nina decoder yangu ya dstv, imekufa baada ya radi kubwa kupiga, imekataa kufanya kazi upande wa HDMI, hvo nkitaka pata picha mpaka nitumie AV, na pia imekata channelz zote.. Msaada plz nin tatzo?
 
peleka dstv watakutengenezea kama iko within warrant,ikishindikana nunua mpya
 
Wapelekee mkuu itapewa mupyaa. No lakini radi ni natural disaster. Kama ipo ktk warranty utapewa mpya.
 
Duu kazi Nssf tu,umeshanunua ng'amuzi hongera
 
Kingamuzi hicho cha Dstv kinaitwaje....changu ni version mpya hakina HDMI nilirudisha cha zamani nikapewa hichi bure.natumia Av
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…