Zipo kaka kuna move channel, News channel, Sports and social entertainment.apo nilitaja local tv kwa kuwa ndo ziko sensitive kwa mazingira yetu
Oya kwa mkoa wa ruvuma tutapataje
Mkuu king'amuzi hiki hakina malipo ya kila mwezi. Ukinunua kwa hiyo gharama ya 160000 imetoka hiyo.
Ndugu, serikali imekurupuka sana na hii teknolojia.
Anachokisema mdau ni cha kweli, NO FREE LUNCH. Kwa sasa hao wanaouza visimbuzi vya Digitek wanakusanya wateja kwanza kwa kutoa huduma bure ukishanunua kifaa chao, lakini baadaye watageuka na kusema mlipie huduma hizo kama ilivyo kwa Easy Tv, Agape ama Startimes. Ni suala la muda tu. Anayesema mtalipia 6000/- mwanzoni mwa mwaka ujao yuko sahihi kabisa, huwezi kupata matangazo BURE. Vya bure vilishaondoka na mwalimu
hiki kidubwasha sio HD wala hakikaribii kuwa HD, ila kwa mtu atakaye migrate kutoka startimes kuhamia digitek ata notice tofauti ya ubora wa picha na sauti.
kwa kukiita HD wanaendeleza udanganyifu tu, hata sasa ukinunua wanakwambia utapata channel 20 ila chaajabu mi naona 15 ukiwauliza wanasema "tuliimaanisha zitakuwa 20 ivi karibuni ila kwa sasa kweli ni 15''
Buhahahahaaaa,pasi mbili goli!
Biashara ndii hii kiongozi wangu naitangaza apa.Najua utakuwa unaiyaji naimba usisite kunijuza.Je ulikuwa unaitaji king'amuzi?
kama hakuna soka vizimwe tu nchi kwani ni maigizo tu.
Thubutuuuu
Thubutuuuu
an HDMI port does not GENERATE HD content it just transmits content that is already in HD.
King'amuzi hicho ni HD kwani kina HDMI port, sasa wewe unavyosema "WANAKIITA HD" una maana gani??!!
kitu gani tofauti mengi alicho fanya?Mengi ameweza kufanya kitu tofauti sana.
BTL subsidiary ya IPP imepewa jukumu la kusimamia king'amuzi kinachofahamika kama "DigiTek". Kampuni hii, ni ya kwanza yenye makao makuu hapa Tanzania.
Mkuuuu,wanaweweseka tu hao,wakizima maana yake na wao hawatapata k2 kabisa,sasa bora lipi,wenyewe watasarenda tu,njaaa usiiombee kabisa
digiteck hamna ki2 wadanganyika iangalie xana